Huduma

Huduma utakazopata ukitembelea Usharika wa Ebenezer:
- Mafundisho ya Neno la Mungu
- Maombi na Maombezi
- Vipindi vizuri vya Kumsifu na Kumuabudu Mungu
- Huduma ya Sakramenti takatifu
- Huduma za ubatizo
- Huduma mafundisho ya ndoa na Kufunga ndoa
- Huduma mbali mbali za Kidiakonia
- Shughuli mbalimbali za Vijana, watoto, Wakina mama na wakina baba
- Ibada za nyumba kwa nyumba
- Uimbaji kupitia vikundi mbalimbali (kwaya)



