Watumishi Waliohudumu
Karibu kwenye ukurasa huu. Hapa tunawakumbuka wachungaji na wainjilisti waliohudumu katika Usharika wa Ebenezer tangu kuanzishwa kwake — watumishi waliotuongoza kwa upendo na uaminifu katika safari ya imani.
Wachungaji
Watumishi 7

Mch. Brayson Mlangi
2016 - 2018

Mch. Marco Kinyau
2018 - 2020

Mch. Jofrey Sumila
2020 - 2026

Mch. Meshack Mtambulo
2021 - 2022

Mch. Yona Kitunda
2022 - 2023

Mch. Elineema Mcharo
2023 - 2024

Mch. Grace Mbata
2026 -
Wainjilisti
Watumishi 4

Mwinj. Brayson Nyaregete
2015 - 2020

Mwinj. Hosiana
2020 - 2021

Mwinj. Judith Moshi
2021 - 2023

Mwinj. Judith Moshi
2025 -