- Benki
- CRDB
- Jina la akaunti
- KKKT EBENEZER
- Nambari ya akaunti
- 0152357841100
Sadaka
“Mheshimu BWANA kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.” Mithali 3:9. Karibu Umtolee Mungu wetu kwa furaha
Uhamisho wa benki / Bank Transfer
Tumia maelezo hapa chini kuhamisha sadaka kupitia benki ya CRDB.
- Benki
- CRDB
- Jina la akaunti
- EBENEZER PROJECT ACCOUNT
- Nambari ya akaunti
- 0152360794100
Tuma kwa njia ya Simu
Karibu Umtolee Mungu sadaka kwa kutumia mitandao ya simu Voda, Mix by Yas, Airtel money kwa kuscan QR Code ifuatayo
VodaMix by YasAirtel Money
KKKT EBENEZER

Skani QR-LIPA kutuma sadaka
EBENEZER PROJECT ACCOUNT

Skani QR-LIPA kutuma sadaka
Fika katika ofisi ya Mtunza hazina
Kama una sadaka yako na ungependa kuileta moja kwa moja kanisani unaweza fika muda wowote wa kazi kuanzia jumatatu - jumamosi, na jumapili mara baada ya ibada. Kwa maelezo zaidi piga +255 XXX XXXX XX