Kamati ya Utendaji
Kamati ya Utendaji ya Usharika inaundwa na Mchungaji Kiongozi, Mchungaji Msaidizi, Mwinjilisti wa Usharika, Mwinjilisti mmoja mwakilishi toka katika kila Mtaa wa Usharika, Wenyeviti wa Kamati za Usharika, Katibu wa Baraza la Wazee, Katibu msaidizi na Mtunza Hazina wa Usharika.

Grace Mbata
Mchungaji Kiongozi

Judith Moshi
Mwinjilisti wa Usharika

Anna S. Ndosi
Katibu wa Baraza la Wazee

Baraka Mahenge
Katibu Msaidizi wa Baraza la Wazee

Welu Kizinga
M/Kiti wa Uinjilisti, Misioni na Uwakili

Edmund Mugasha
M/Kiti wa Mipango, Uchumi na Utawala

Daniel Mungure
M/Kiti wa Fedha

Anastazia Njiku
M/Kiti wa Malezi

Carle Lyimo
M/Kiti wa Afya na Udiakonia

Adam Msendo
M/Kiti wa Mazingira

Debora Daudi
Mtunza Hazina wa Usharika