Ibada na Ratiba
Karibu tumwabudu Mungu wetu pamoja nasi, ufuatao ni utaratibu wa Ibada:-
Ratiba ya Jumapili
Ibada 2
Ibada ya kwanza
Saa 01:00 - 03:30 Asubuhi
Ibada ya pili
Saa 04:00 Asubuhi - 06:00 Mchana
Ratiba ya mwisho wa mwezi
Ibada 1
Ibada Moja
Saa 01:00 - 04:00 Asubuhi
Ratiba ya katikati ya Wiki
Ibada 2
Morning Glory (Masifu ya Asubuhi)
Saa 12:00 - 12:45 Asubuhi
Evening Glory (Masifu ya jioni)
Saa 12:00 - 01:30 Jioni
Ratiba ya Fellowship (Ushirika na Bwana)
Ibada 1
Kila Jumapili
10:00 - 11:00 Jioni
Ukifika KKKT Ebenezer utapata;
Maegesho ya kutosha na salama kwa chombo chako cha moto, mazingira mazuri ya kumwabudu Mungu kwa uhuru, furaha na ibada maalumu za watoto zilizopangiliwa kwa kufuata umri wa mtoto.
Bonyeza link (Fungua ramani) hapo chini kupata ramani itakayokufikisha K.K.K.T Ebenezer
Fungua ramaniWashiriki
Orodha, sadaka, na maombi ya utunzaji wa kiroho yanaweza kuwa kwenye programu ya ChMS.
Fungua ChMS / Member's Portal